KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, November 8, 2011

MKUTANO MKUU WA MKOA WA AHAMADIYA MKOANI RUVUMA

Kabla ya kuanza Mkutano Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wa Ahamadiyya ilipandishwa bendera ya Taifa na Bendera ya Jumuiyya kuonyesha jinsi waisilaam wanavyo tii serekari ya Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania

Waandishi wa Habari walio hudhuria mkutano mkuu wa jumuiyya ya waislaamu wa Ahamadiyya, kulia ni Judithi Lugoye na Kushoto ni Emanueli Msigwa wa Chaneli Ten

Aliye vaa Suti nyeusi ni katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Anserimo Tarimo kulia kwake Mbashiri mkuu Nchini Tanzania na wamwisho aliye vaa Kanzu nyeupe ni Mbashiri mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mahaood Bath, Shabaha ya mkutano ni kuwaimarisha waislamu katika kudumisha amani

No comments:

Post a Comment