KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, November 8, 2011

JESHI LA POLICE MKOANI RUVUMA LA KAMATA SILAHA KUTOKA MSUMBIJI

Kamanda wa Police Mkoani Ruvuma Maiko Kamhanda akiwa ameshika Bunduki ilyo kamatwa Lusewa Vijijini Wilaya ya Namtumbo aina ya SMG Ikiwa haina kitako ,kitako chake kikiwa kime katwa

Waandishi wa Mkoa Waruvuma wakipata Tarifa ya jinsi Bunduki hiyo ilivyo patikana na mwenye silaha hiyo kukimbia na kuacha begi lake likiwa na koti refu lililo andikwa POLICIA Ikiwa na maana POLICE ,Hiyo inaonyesha mwenye kumiliki bunduki hiyo ni mwenyeji wa Msumbiji,

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Maiko Kamhanda amesema hii ni bunduki ya 10 kuikamata kwa kipindi cha mwaka mmoja ikitokea nchi jirani ya Msumbiji

No comments:

Post a Comment