KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, May 23, 2012

FOUNDATION YA TEMBELEA MASHIRIKA

Viongozi wa RUNECISO Mkoa wa Ruvuma wakiwa na Ujumbe kutoka Foundation kutathimini miradi mbalimbali iliyo tekelezwa

Mwendesha Baiskeli Mashuhuri kutoka Lindi ameingia Mkoani Ruvuma Kwa kuandaa michezo ya mbio za Baikeli katika serehe za kuzindua kituo cha Good hope

Saidi Kengele kutoka Lindi akiwa na Baisikeli aliyo itumia kwa safari hadi kufika mkoani Ruvuma

Mgeni kutoka The Foundation Emanuel Kazungu akiwa Ofisi za Star TV akibadilishana mawazo na mwandishi wa Star Tv kushoto ni Katibu Mhutasi wa SONNGO Sofia Ngalimanayo

Uongozi wa RUNECISO ukiwa na Mgeni kutoka The Foundation Emanuel Kazungu wakiwa mtaa wa Zanzibaakutoka kulia ni Fransis Mlimilaanaye fuatia Adamu Nindi aliye vaa blauzi nyeupe ni Judith Lugoye anaye fuata Asha Abdala anefuata ni Mwenyekiti wa RUNECISO Michael Mahecha,aliye vaa suti nyeupe ni Insipekita Anna Tembo walipili kutoka kushoto ni Mgeni kutoka The Foundation Emanuel Mzungu mwisho Mwenyekiti wawalemavu mkoa wa Ruvuma

No comments:

Post a Comment