KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, May 29, 2012

SHETANI GANI AMEINGIA KATIKA KARINE HII ?

Dakitari wa hospilata ya Mkoa Ruvuma akikagua Maiti ya Mtoto mdogo ambaye mama yake mzazi anatuhumiwa kumnyonga kwa kumvunja shingo

Mama mzazi wa Mtoto aliye nyongwa Mtotot wake kwa kumuvunjwa shingo akiwa chumba cha kuhifadhia maiti wakati mtoto akifanyiwa uchunguzi

Dakitari Mchirika akitoa maelezo kwa insipekita Anna Tembo jinsi mtoto huyo alivyo uwawa


Masikini mtoto mdogo mwenye umuri wa miaka mitatu akiwa amelala chumba cha kuhifadhia maiti baada ya mama yake mzazi akishirikiana na hawara yake ambao wana tuhumiwa kumua mtoto huyo ili asiwabuguzi wawapo kitandani. na baada ya mauaji hayo waliahidi kuoana.Ndugu msomaji wa Blog hii hebu angalia watu walivyo hawana huruma akina mama,akina baba, wazee wetu utamaduni wa Mwafirika Mmeuweka wapi ?

2 comments:

  1. Jamani yaani mama mzazi kabisa kabeba mimba miezi sita na kisha kumzaa mtoto wake na leo anamnyonga bila hata huruma kwa kutaka kuolewa. Je huyo atakayeoana naye hatazaa naye? Malaika kama huyo jamani. Huyu mama lazima atakuwa na shida katika ubongo wake.Nikiwa kama mama imeniuma sana.

    ReplyDelete
  2. inasikitisha sana jamani tuweni na utu sasa wapo wanaolilia watoto alafu nyie mnawaua imeniuma sana

    ReplyDelete