KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, March 5, 2012

BIMA YA AFYA NA MCHAKATO SONGEA, UJENZI WA POLICE JAMII WA ENDELEA

Washiriki wa Mkutano wa Bima ya Afya wakiwa katika Mkutano wa kuhamasisha kujiunga na Bima ya Afya uliofanyika katika ukumbi wa Songea Club Mjini Songea

Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu na Mkuu wa Wilaya ya Songea Said Thabit Mwambungu akihamasiha wana Ruvuma kujiunga na Bima ya Afya kwani Tele kwa tele ya Bima ya afya Ruvuma imepata Milioni 30 tu kutokana na Manispaa ya Songea pekee.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Ally Kiwenge akitoa ufafanuzi wa maboresho ya huduma ya Mfuko wa Bima ya Afya na kuhamasisha wana Ruvuma wajiunge kwani sasa hivi huduma inaboreshwa zaidi hadi Vijijini alitoa ufafanuzi huo katika Mkutano wa Bima ya Afya uliofanyika katika Ukumbi wa Songea Club Mjini Songea.

Ujenzi wa Jengo la Polisi wanawake linavyoendelea mafundi wa jengo hilo Justini Mgao aliye inama wakipandisha Bim katika hatua ya maendeleo ya ujenzi huo.

No comments:

Post a Comment