KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, March 5, 2012

JEE MAENDELEO YANA LINDWA TANZANIA

Watanzania wanachohitaji ni amani, Hoteli inayoonekana hapo juu ni ya nyasi lakini ina uwezo wa kuingiza milioni moja kwa mwezi ikiwa katika mazingira ya usafi wa hali ya juu.

Familia ya Mama Alice Matembo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Mazishi ya Alice Matembo. Mungu alitwaa na Mungu amechukua apumzike kwa amani amin.Picha kwa hisani ya kakayake Adam Mzuza Nindi

Barabara ya Tunduru - Songea inavyoonekana baada ya barabara hiyo kuwa changamoto kwa watu wanao safiri kutoka Songea vs Tunduru wakati wa mvua za masika pichani ni eneo la Kilimasela lori ikijaribu kushindana na udongo wa mfinyanzi

Pichani ni Mahakama Mpya ya Nakapanya ambayo kibao chake kimeonyeshwa hapo juu ikiwa imejengwa vizuri imeezekwa kwa bati ikiwa imezungukwa na nyasi Jee Kukwaa Nyasi kuzunguka Mahakama hiyo ni jukumu la Serikali au Wananchi? Jee Ikitokea Nyoka kuvamia wakiwa wanaendesha kesi humo Mahakamani jee nyoka kuwa katika eneo hilo watakuwa wanakosea au watakuwa sahihi kwa kuona yanafanana na makazi yao?


Pichani ni Mahakama ya zamani ya Nakapanya wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma ambayo wamehama na kuhamia Mahakama Mpya kutokana na uchakavu swali la kujiuliza jee hali inayoonekana hapo juu ina tofauti gani na ile mpya ambayo wamehamia. Jee Serikali haipati hasara kwa mazingira kama haya.?

No comments:

Post a Comment