KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, March 10, 2012

MKUU WA MKOA WA RUKWA INGINIA STELA MANYANYA AHIDI KUTO MILIONI MOJA KWA AJILI YA JENGO LA POLICE WANAWAKE MKOANI RUVUMA

JJengo la Police wanawake Mkoa wa Ruvuma lazidi kupata wafadhili ili likamilike Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Rukwa Inginia Stela Manyanya ameahidi kutoa shilingi milioni moja kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa jengo hilo mpaka sasa watu walio changia wamefikia watu 25

Mheshimiwa Stella Manyanya akiwa na Jopo la Balaza la UWT Mkoa wa Ruvuma wakikagua jengo la Police Wanawake Mkoa wa Ruvuma

Mwenyekiti wa Uhamasishaji wa Ujenzi wa Jengo la Police Wanawake bwana Adamu Nindi akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Rukwa Mh. Inginia Stela Manyanya jinsi jengo hilo lilivyo pata Mafanikio

Mh. Inginia Stela Manyanya akikagua ujenzi wa jengo la Police Wanawake ,Mh. Inginia Stela Manyanya amesema ujenzi wa jengo la Police wanawake lita kuwa mfano wa kuigwa ili wanawake waweze kujieleza vizuri pale wanapo patwa na matatizo

Mratibu wa Ujenzi wa jengo la Police Wanawake Juma Nyumayo akitoa maelezo ya kina kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa na Katavi Inginia Stela Manynya kuhusu ujenzi wa jengo la police wanawake na faida itakayo patikana hapo badaye


Mtunza kumbukumbu za Ujenzi wa Jengo la Police Wanawake A/ INS Fadhila Chacha akimweleza chanzo cha kubuni na kuanza kujenga jengo hilo

No comments:

Post a Comment