KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, March 4, 2012

SIMBA MLA MFUGO YA WATU ATAFUNWA RWANDA

Wananchi wa kijiji cha Rwanda Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma wakiwa na Hasira kwa simba jike Mwenye Urefu wa mita 3,5 na uzito unao kadiriwa kilo 250 -300 aliye kula mifigo yao ikiwemo mbuzi 20, ngombe wa Tatu na kujeruhi mifugo kadha, Hapo simba huyo akiwa ameuwawa kwa kupigwa Risasi 5,


Simba jike akiwa amefungwa kamba Tayari kwa kuchuna ili nyama yake iliwe ili kulipiza kisasi kwa usumbufu ulio wapata ,Hapo wanchi wakingoja idhini ya kumchuna Simba huyo jike anaye kadiliwa kuwa na uferefu wa mita 3.5 na uzito wa kilo 250- 300

1 comment:

  1. MASWALA YA KUUPUZA MAWAZO YA WATU NI MOJA YA SUMU AMBAYO HUJENGA CHUKI KAMA KUNA WATU AMBAO WANA HUJUMU TTCL NIBORA SEREKARI KUCHUNGUZA HUJUMA HIYO UHAI WA WQANANCHI WA TANZANIA NI TTCL

    ReplyDelete