KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, March 10, 2012

NYOKA ULIYE MUA NI RAFIKI WA BINADAMU

Dada oliver Moto huyo nyoka uliye mua hana hatia kwanza kwa tabia yake ni rafiki wa binadamu katika maisha niliyo kuwa na ishi vijijini nyoka huyu wa kijani alikuwa ni nyoka ambaye alikuwa ana cheza na watoto sija tokea kuona anauma akiuma mtu ujue kijijini hapo kuna jambo baya lina weza kutokea

Nikawaida ya nyoka huyo kukaa katika paa la nyumba au kama umepanda miti ubani hao nyoka hupenda kuishi humo pia huyo ni pambo ni ajabu kusikia wanaume wana mkimbia sisi kwetu uta kuta mtoto kamuvaa shingoni ,kama kweli wanaume walimkimbia basi ujasili ume toweka hapo Iringa, Ila hongera kwa kuonyesha Mwanamke ana weza

2 comments:

  1. Nyoka ni nyoka kaka yangu hata kama hang'ati, wee!! Wanaume walikimbia vibaya mno!! Mimi kuwaonyesha kuwa ni mwanamke jasiri nilimfuata na kumuua.

    ReplyDelete
    Replies
    1. nakushukuru kwa hilo ,nakutakia kazi njema endelea kuperuzi mtandao wa www.songeahabari.blogspot.com

      Delete