KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, October 25, 2011

ANAYE TUHUMIWA KUUA LEVINA NDUNGURU GEST HOUSE

Kijana Tomas Jarara 22 anaye Tuhumiwa kumwua Levina Ndunguru aliyse kuwa mhudumu wa Mvula Mpenda ,Kijana Toma Jarara anaye tuhumiwa kumwua Levina Ndunguru katika Gest House ya Mikumi Mfaranyaki Songea pichani hapo juu,



kaburi la marehemu Levina Ndunguru aliye zikwa huko wilani mbinga ambako ndiko aloko zaliwa,


Jeneneza la marehemu Levina Ndunguru likisafirishwa kwenda Wilayani Mbinga

1 comment:

  1. Oh My God. Levina alikuwa rafiki yangu tangu August 2008. Mi ninaishi Dsm ila ni mwenyeji wa huko Songea. Nilikuja kwenye msiba wa mdogo wangu, nikajuana na Levina kwenye internet cafe. Nilipoondoka tukaendelea kuwasiliana, kwa simu na email, wakati ule nilikuwa na mpango wa kufungua duka la stationary na internet cafe na tulikubaliana wakati wowote nikiwa tayari nimwambie aje tufanye kazi pamoja. Nilionana naye tena mara moja mwaka 2009 mwezi wa sita nilipokuja huko kuoa. Nikaondoka. Tukawa tunaendelea kuwasiliana. Nilifiwa na mke wangu tarehe 17 October 2011, Dar. Nikasafiri kuja Songea kwa mazishi. Baada ya mazishi nilijaribu kumtafuta Levina kwa simu sikumpata, nikaandika email kumjulisha kwamba nipo Songea, hakujibu, nikaondoka. hata nilipokuja kwenye arobaini sikufanikiwa kumpata. kwa kweli nilikuwa na wasiwasi kidogo, nikihisi pengine labda amekwenda nyumbani kijijini kusiko na network. Nikaondoka. Tangu hapo nimekuwa nikijaribu bila kukata tamaa kupiga namba yake, na mara ya mwisho nimepiga kama wiki tatu tu zilizopita.

    Sasa leo nimepata wazo la ku google jina lake, result zimenileta kwenye ukurasa huu. Mungu wangu, kumbe maskini Levina alishafariki siku nyingi. What a loss! Najisikia vibaya sana leo.
    Thanks kwa taarifa. thanks kwa kuiacha online.

    Rest In Peace Levina.

    Issa Kanguni ibot.isk@gmail.com 0655242960

    ReplyDelete