KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, October 5, 2011

HATIMAYE AHADI YA RAIS KIKWETE YA TIMIA SONGEA

Rais wajamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete alipo fanya Ziara Mkoani Ruvuma na Kuahidi kutoa Jenereta kwa Manspaa ya Songea Ahadi yake imetimia baada ya Mbunge wa Jimbo la Songea ambaye ni Waziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo Dr Emanuel John Nchimbi kupokea Jenereta hilo ambalo litanza kufanya kazi baada ya Miezi miwili kutoka mwezi October Mwaka huu 2011

Waziri wa Habari Utamaduni Michezo na Vijana Dr Emanuel Nchimbi akipokea maelezo ya Ufungaji wa Jernereta lililo Tolewa na Rais Wajamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete kutoka kwa Meneja wa Tenesco Mkoa wa Ruvuma Monica Kibura

Wandishi wa Habari wanatakiwa kuwa watafiti wa mambo mbalimbali, Ya kijamii kibiashara na Afya. tunapo sema mambo ya Utetezi wa haki ni pamoja na haki zao wenyewe,Wandishi wa habari wako kama Mshumaa huangazia wengine huku wenyewe wakiteketea kwa ukame wa Maisha, Limpatapo Mwandishi mwingine huwa furaha ya mwingine Tabia hii dawa yake nini ? Pichani hapo juu Mjumbe wa bodi ya Wandishi wa Habari Tanzania[ UPPC ] Juma Nyumayo akipokea kero zinazo wakabili waandishi , Cha kujiuliza jee Mjumbe huyu ataweza kuyafikisha kuyajadili na kuyatolea maamuzi ?

No comments:

Post a Comment