KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, October 13, 2011

MADIWANI WALIO FUKUZWA NA CCM WILAYA WA SAMEHEWA NA CCM MKOA WA RUVUMA


Madiwani watano wa Chama cha Mapinduzi walio fukuzwa na kamati ya siasa ya wilaya ya Songea wamesamehewa na CCM Mkoa baada ya kikao kuwa hoji na kubaini makosa waliyo ya fanya ya kimaadili wakati wa uchaguzi wa Meya wa Manspaa ya kulikuwa siyo ya kusudia. Madiwani hao diwani Cristian Matembo,Victer Ngongi,Kula Besit diwani wa msamala,na Mhagama diwani wa mshangano. Katibu wa CCM Emanuel Mntyangingombe amesema kazi iliyoko ya CCM sasa ni kutoa Elimu kwa Madiwani wote wa CCM wote wa Mkoa wa Ruvuma

5 comments:

  1. HUYO KATIBU WA MKOA HANA AKILI NI PUNGUANI HAJUI KATIBA NA KANUNI ZA CHAMA CHAKE ANACHOKIONGOZA,MBONA HATUJASIKIA HABARI YA KUFUKUZWA MADIWANI HAO LEO ANASEMA WAMEFUTA ADHABU AMBAYO HAIKUWEPO TUNACHOJUA SISI WENYE UWEZO WA KUWAFUKUZA MADIWANI NI HALMASHAURI KUU YA CCM MKOA SIYO WILAYA HUYO HANA KITU.

    ReplyDelete
  2. rushwa mbaya sasa tumejua tatizo la Katibu wa mkoa ni fedha za Rushwa hana lolote,Meya aliyeshinda ni wa CCM sasa tatizario lake nini akafie mbele ya safari

    ReplyDelete
  3. mnamuenea katibu wa CCM Mkoa yupo sawa kama Meya hamtaki ni Demokrasia yake kuungana na madiwani wa CCM na wa CHADEMA wale wanaomkataa Meya ni haki yao ya kikatiba

    ReplyDelete
  4. ndugu waandishi,sijawaelewa vizuri baadhi yenu lakini hasa huyu mmoja anayeitwa Stivin Mango ni mwandishi makini sana kuliko wote namtakia kila la kheri

    ReplyDelete
  5. hahaaaaaaaa CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE KAZI MNAYO MNASALITIANA WENYEWE KWA WENYEWE ENZI ZA MWALIMU WE MTEMING'OMBE USINGEKUWA KATIBU LEO

    ReplyDelete