KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, October 3, 2011

TTCL MKOMBOZI WA WANYONGE RUVUMA

Mkoa wa Ruvuma una bahati kubwa kwa kuwa na mitandao yenye nguvu lakini katika mitandao hiyo upo mtandao mkongwe ambao hauna papara unaenda taratibu lakini vitu vyake ni vikubwa ,Garama yake ni ndogo lakini ina wafaidisha wazawa ,Jaribu uone mtandao huo ni TTCL

1 comment:

  1. TTCL inatoa huduma ya pekee ya mtandao wa broadband yenye kasi pekee ya 8mbps, bila kusahau modem za EVDO (USB) ambayo unaweza kusafiri nayo kokote nchini. vilevile ile huduma kongwe ya fixed copper line ndiyo pekee inayotoa huduma bora ya FAX ikiwa pia ni mawasiliano pekee yenye utulivu yasiyompa nafasi jirani kusikia sauti ya unaeongea nae.
    watanzania hii ni kampuni pekee inayomilikiwa na serikali ya Tanzania na mali ya walipakodi watanzania hivyo tutumie kilicho chetu.

    ReplyDelete