KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, May 11, 2013

BARIDI YA WATESA WATOTO SONGEA WAAMUA KUJIFUNIKA BENDERA YA CCM

 Unapo sikia mwezi wa 5 - 6 ina kuwa pata shika mkoani Ruvuma kwajinsi baridi inavyo puliza, Ushahidi kamili wa kuonyesha kuwa baridi ni kali ni pale mtoto Gabiliel Kiwili wa Kata ya Mletele Manspaa ya Songea alipoamua kuchukua bendera ya Ubalozi na kujifunika kuepukana na baridi
Masikini Gabiliel Kiwili yeye hana habari kuwa aliyo jifunika ni bendera yeye bora ameepukana na baridi,Gabiliel Kiwili yalimkuta ayo alipo jisogeza kusikiliza T.MARC wakitoa elimu ya Famila Ina faa

No comments:

Post a Comment