KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, May 2, 2013

MKUU WA WILAYA SONGEA AIMARISHA KILIMO CHA MAHINDI

 Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti amedhamiria kuinua kilimo cha mahindi Wilayani Songea hapo anaonekana akiwa katika shamba la mkulima marufu Issaca Mwilamba eneo la Mgazini Songea Vijijini
 Muzaji wa Pembejeo Marufu Mkoani Ruvuma Rosse Mary Haule akieleza jinsi ya kuufanya mhindi uwe kama unavyo onekana kwa kutumia pembejeo kiutalamu
 Mkuu wa Wilaya Joseph Joseph Mkirikiti akiwa na watalamu wa PANNAR akikagua shamba la Issack Mwilamba baada ya Kutumia Mbegu za PANNAR
Afisa kilimo wa Songea Vijijini Efremu Nyakunga akitoa utalamu wa Mbegu bora za PANNAR

No comments:

Post a Comment