KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, May 2, 2013

SHUKRANI KWA WAZIRI STEVEN WASIRA


 Familia ya Selina Osimundi Fussi inapenda kutoa shukrani kwa Waziri Mh. Steveni Wasira kwa moyo alio uonyesha kwa Mtoto Selina Osimundi Fusi [aliye vaa gauni la blue ] kwa juhudi za kuweza kushugulia akiwa Hospitali ya Mhimbili ili mtoto huyo Selina aweze kwenda kutibiwa Nchini India kutokana na Moyo wake kuonekana ukiwa na Tundu ambalo lina mfanya kuwa Dhaifu
 Mtoto Selina Osimundi Fussi [4] Mkaazi wa Songea kama anavyo onekana kwenye picha ni mzaifu wa Moyo kwa kipindi kirefu hivi sasa alishindwa kupata matibabu kutoka na ukwasi wa Familia yake Baba yake Mzazi alifariki, Baada ya kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambugu aliweza kusafirishwa hadi Dae- es - salaam ambako alikutana na Mtu wa Mungu Siteven Wasira ambaye alijitolea kwa hali na mali ili kuhakikisha mtoto Selina ana kwenda Kutibiwa.
Mara baada ya Juhudi za Mh. Siteven Wasira kulionekana upungufu wa Nyaraka za kusafilia ndipo juhudi ilipo chukuliwa kumrudisha Songea ili aweze kupata Paspoti .Mh Waziri Wasira akishirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu amemhakikishia Asia Saidi Kanduru mama wa Mtoto Selina Osimundi Fussi kuwa mtoto huyo ata weza kupata tiba Huko Nchini India. Ndugu na Jamaa tumuchangie mama huyu ili fedha hizo zimsaidie mtoto kwa mawasiliano zaidi Tumia Nomba 0755 731 234 au 0755061588

No comments:

Post a Comment