KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, May 9, 2013

TANROAD MKOA WA RUVUMA MNA FANYA NINI KUOKOA MAISHA YA WATOTO ? Eneo ili lipo sehemu ya Msamala Manispaa ya Songea kama kinavyo jionyesa kibao ,akuna alama yoyote inayo onyesa Vyombo vya moto kupunguza mwendo wala Matuta mavuno yanayo patikana ni kupoteza Roho za Watoto wa shule
Hapo wanafunzi  wa De Paul wanajitahhidi kuvuka huku wakiwa na wasiwasi Trafiki ni Watawa wenyewe, Nga'mbo ya shule kuna Kanisa ambako kila wakati waibada wanafunzi huvuka kwenda kusali jee tutawalindaje watoto hawa na ajali
Tunauliza TANROAD Wanafanya nini kuokoa maisha ya Jamii hii unayo iona ni damu ambayo imemwagika hivi karibuni. Ni mtoto wa Darasa la tatu ambaye alikuwa ana vuka barabara Eneo la Shule ya Watawa wa kihindi iliyoko Msaamala  Manspaa ya Songe  Mtoto huyo aliburutwa mita 20 hadi alipo toa Roho yake Mwenyezi Mungu amweke Peponi .Eneo hilo halina Alama yoyote ya kuonyesha kuna shule wala alama ya kuonyesha ni kivuko cha N'gombe.Kwa nini lisiwekwe Tuta kuokoa maisha ya Watoto. Ukifika eneo hilo utawaonea huruma Watawa wakiwa wamesimama Barabarani kuwa Vusha watoto.Msomaji hii ni Mara ya Pili Mtoto wa Shule kupoteza Maisha

No comments:

Post a Comment