KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, May 8, 2013

MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU AWAASA VIJANA WA SEKONDARI KUJIEPUSHA NA RUSHWA

Kurugenzi wa TAKUKURU  Dr Edward Hoseah amewataka vjijana wa Shule za Sekondari kuwa wawakilishi wazurikupinga swala la Rushwa Aidha ametoa shilingi milioni moja kwa shule ya sekondari ya wasichana Songea Kutokana na wimbo mzuri walio imba ukiwa na Ujumbe wa utokomezaji wa Adui Rushwa
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Edward Hoseahakiwa na wafanyakazi wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma  pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh.Saidi Thabiti Mwambungu wapili Kushoto
Waandishi wa Habari wakiwa katika Mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Edward Hoseah
Wanafunzi wa Shule za Sekondari Mkoa wa Ruvuma wakisikiliza Mada Mbalimbali kuhusu swala la Rushwa lililo tolewa na Mkurugenzi Mkuu Edward Hoseah  Mkoani Ruvuma
Walimu wa Shula za Sekondari mkoa wa Ruvuma wakisiliza Mada za Rushwa zilizo tolewa na Mkrugenzi Mkuu wa TAKUKURU Taifa Edward Hoseah
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Daudi Masiko akiwa na Kamanda Police Mkoa wa Ruvuma Deusdediti Nsimeki
Viongozi wa Dini mbalimbali  Mkoani Ruvuma wakiwa katika pica ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Taifa Dr Edward Hoseah
Wanafunzi wa Sekondari za Mkoa wa Ruvuma wakisiliza Mada za Rushwa mtoa mada akiwa Dr Hoseah
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Ruvuma Kiwa katika Pica ya Pamoja na Dr Edward Hoseah mara baada ya Semina
Wafanyakazi wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma wakiwa Pokea Wageni Mbalimbali

No comments:

Post a Comment