KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, May 11, 2013

T.MARC YATOA FAIDA KWA WANANCI 250 KUUSU ELIMU YA KUWA SAIDIA WATOTO KUANZIA 9 -12

 T.MARC Baada ya kufika Mkoa wa Ruvuma imeweza kutoa elimuya kuweza kuwaokoa vijana walio na miaka 9 -12kujua jinsi ya kujiepusa na visawisi mbalimbali vinavyo wa kabili ikiwemo Ngono Uzembe.Meneja Maurice Makuna Chirimi aliye simama na Wandishi wa Habari karibu na mti akitoa maelezo kuhusu T.MARC
 Maurce Makuna Chirimi amsema Shirika la T.MARC toka lianze tayari limewafikia watu 7000 na Matokeo yameonekana ni pamoja na kupungua kwa ngono uzembe kwa watoto walio chini ya miaka 12
 Wazazi 250 walio hitimu mafunzo ya Familia Inafaa wakingoja kupewa vyeti vya kuitimu ,wazazi ao wamesema kutokana na elimu waliyo ipata ivi sasa wamesema watafuatilia kwa ukaribu kujua maendeleo ya watoto wao wanapo kuwa shuleni
Wazazi baada ya kupata elimu kutoka T.MARC wamesema ningao tosha ya kuweza kuwa ongezea elimu bora watoto wao, mwanzo walifikili kazi ya kufuatilia mienendo ya wanafunzi ni ya walimu na Serekari

No comments:

Post a Comment