KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, May 3, 2013

MAFANIKIO YA UJENZI WA BARABARA YA NAMTUMBO - SONGEA NA KUKWAMA KWA BARABARA YA NAMTUMBO TUNDURU KUNA TOKANA NA NINI ?

 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu  katika kikao cha kwanza na watengeneza barabara ya kutoka songea hadi Namtumbo  yenye urefu wa Kilometa 64  ambayo sasa ina weza kupitika, Wakandalasi hao kutoka Ufaransa waliahidi barabara hiyo kukamilika mwaka 2013
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu akiwa katika kambi ya watengeneza barabara ya Songea  Namtumbo eneo la Luhila akiangalia jinsi barabara hiyo inavyo tayarishwa. Cha kujiuliza Barabara ya Namtumbo - Tunduru ita kamilika lini Niwa kandalasi gani ambao hawaonyeshi wanako toka wala wanako kwenda ? Meneja wa Tanroard anajibu kamili

No comments:

Post a Comment