KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, June 7, 2012

ALIHAJI SAIDI KILAHAMA AKABIDHI MADIRISHA YENYE THAMANI YA SHIRINGI MILIONI 3.6

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Desdedit Kaizilege Nsimeki akimkaribisha Mkuu wa Wilaya Mh. Joseph Joseph Mkirikiti ili amkabidhi Madirisha yanayo tolewa na Alhaji Saidi Kirahama


Alihaji Said Kilahama akitoa Madirisha kwa ajili ya jengo la Police Wanawake akimkabidhi Mkuu wa Wilaya Kwa niaba ya Mkuu wa WA mkoa wa Ruvuma Mh. Said Thabiti Mwambungu madirisha yenye Thamani ya Shilingi mioni 3.6


mkuu wa Wilaya Joseph Joseph Mkirikiti akipokea fedha kwa mke wa Alhaji Said Kilahama kiasi cha shilingi laki tano 500,000/=


Kamanda wa Police Desdedit kaizilege Nsimeki akipokea fedha 500.00/= zilizo tolewa na mke wa Alhaji Saidi Kilahama


Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Desdedit Kaizilege Nsimeki akimkabidhi mhasibu wa Jengo la Police Wanawake Mesiha Mfupa


Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akimshukuru mama kilahama kwa mchango wake wa shilingi 500,000/=

No comments:

Post a Comment