KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, June 3, 2012

KATIBU WA UENEZI WA CCM TAIFA ATAKA WALIO CHAKACHUA PEMBEJEO WA CHUKULIWE HATUA

Katibu Mwenezi wa CCM Mosses Mnawie akitoa agizo kwa mkuu wa wilaya ya songea kuwa fikisha mawakala wote walio chakachua pembejeo wafikishwe mahakani mara moja

Mkuu wa Wilaya Mpya ya Songea akipokea Maagizo ya kufufua kiwanda cha kusindika Tumbaku cha Songea ambacho kime simama kwa muda mrefu ili kifanye kazi na kutoa ajira kwa Wanchi wa Songea

Mwenyekiti wa CCM akitoa neno la ukaribisho kwa Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi katika uwanja wa Zimani moto

Viongozi wa Chama na Madiwani wakimpokea Mgeni Rasimi Katibu Mwenezi wa Chama cha mapinduzi Mosses Mnawie

No comments:

Post a Comment