KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, June 2, 2012

JUMULA YA SHILINGI BILIONI 64 ZINA HITAJIKA KWA AJILI YA KUJENGA MSONGO WA UMEME KUTOKA MAKAMBAKU HADI SONGEA

Enginia Himidi Didi akiwa amemfurahisha Mbunge wa Magret Mwakilishi wawalemavu bungeni baada ya kumwambia TANCOAL ina fuata usawa wa kuwapa kazi ya ulinzi wanawake bora wasiwe legelege na wasiwe nawoga.

Mwenyekiti wa Kamati tya Bunge Mahamud Hasan Mgimwa akiwa na Enginia Himidi Didi kulia ni Bwana Mamboleo wakijadili jinsi ya kuwa na mahusiano mema kwa watu wanao Zunguka Mgodi wa makaa ya Mawe

David Madera chief offecer of Land Surveryor he was ni Ngaka mine lwanda Mbinga

Mtalamu katika machimbo ya makaa ya mawe Lwanda wilayani Mbinga kuhusu maendeleo ya machimboa bwana Mamboleo akitoa maelezo kuhusu mafanikio ya uchimbaji wa makaa ya mawe mpaka sasa tani 80,000 za Makaa ya mawe Zimechibwa

mbunge kutoka Zanzibar akiwa katika kamati ya Bunge ya Biashara na Viwanda walipo kuja kuangalia Hali Halisi ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe katika Machimbo ya Ngaka wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma

Kamati ya Bunge Biashara na Viwanda wakijadili jinsi ya kuweza kuinusuru serekari na janga la umeme Nchini Tanzania kwa kuweza kutumia nishati ya Makaa ya Mawe


mkurugenzi wa Viwanda mama kutoka NDC Enginia Alley Mwakibolwa akitoa maelezo ya jinci NDC na TANCOAL walivyo weza kufanikisha uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe amesema mpaka sasa imebainika kuwa kuna madini ya makaa ya mawe kiasi cha tani miloni 250

Meneja katika machimbo ya ngaka Enginia Himidi J. Didi akitoa maelezo ya kina ufanisi ulio patikana na uchimbaji wa makaa ya mawe, amsema makaa hayo yana uwezo wakutoa umeme kiasi cha MG 400 na kuendea, na umeme huo unaweza kutumika zaidi ya miaka 80

Hapo Enginia Himidi Didi anaonekana akiwa toa wasaiwasi wabunge kuhusu matumizi ya uuzaji makaa ya mawe kuwa tani zilizo chimbwa ni ndogo sana kiasi cha tani 80 tu na machimbo ya lwanda yana Tani milioni250

Mh. Mbunge mwakilishi wawa lemavu mama Magret akitoa wasiwasi wake kwa serekari jinsi inavyo shindwa kutumia umeme wenye uhakika wa makaa ya mawe nakungangania umeme wa Genereta ambao una waumiza wanchi


Hiyo ni hali halisi ya uchimbaji wa makaa ya mawe unavyo onekana makaa ya mawe ya Lwanda ni bora sana Ulimwenguni

TANCOAL ikiendelea kuchimba makaa ya mawe ambayo yamejiweka kama tabaka la mwamba

Enginia Himidi Didi akiongea na waandishi wa Habari kuhusu mwendelezo ya maendeleo kwa wananchi wanao ishi jirani na na Machimbo kwa kuwapa Huduma za Maji,Vyoo kwa watoto wa Shule

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge akihoji watalamu wa Serekari jinsi wanavyo weza kusimamia uchimbaji wa Madini ya Makaa ya mawe na kusimamia mapato ya nayo tokana madini hayo kwa wilaya ya mbinga

Kamati ya Bunge ya Biashara na Viwanda ikiendelea kujadili jinsi ya kuiwezesha NDC kupata fedha za kuwa komboa wana nchi na kero ya umem


Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Biashara Mahamud Hasani Mgina Mbunge wa Mfindi Kazikazini akijionea rasilimali za makaa ya mawe zilivyo katika wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma

Makamu mwemnyekiti wa Halimashauri ya Mbinga Prisca Haule akiwa na Mtalamu wa Serekari akihoji mapato na ugawaji unavyo tumika wa uuzaji makaa ya mawe

Wabunge waliopo katika kamati ya Bunge ya Bishara na Viwanda wakimsikiliza Mkurugenzi wa Viwanda Mama wakati akieleza changamoto zinazo ikabili NDC na kushindwa kuanza kupeleka Msongo wa Umeme kutoka Makambaku kuja Songea

Wabunge wa kamati ya Biashara na Viwanda wakipeana mawazo baada ya kufahamu hali halisi inayo kwamisha wananchi Tanzania kuendelea kupata umeme wa Mgao

Mtafiti kutoka Zimbabwe David Madera akiwa na mwandishi wa Star Tv Adamu Nindi akimweleza jinsi wanavyo fanya utafiti wakujua kiwango cha makaa ya mawe maeneo tofauti.

No comments:

Post a Comment