KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, June 25, 2012

KAMANDA WA POLICE MKOA WA RUVUMA AAMURU MCHAWI ALIYE ANGUKA NA NDEGE YA KICHAWI ARUDISHWE KWAO MSUMBIJI

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Deusdedit Kaizilege Nsimeki ametoa amri ya uchunguzi wa Mzee ambaye anasadikika alianguka na ndege ya kichawi iliyo anguka maeneo yaNamabengo wilaya ya Namtumbo ikiwa na abiria 12 ,Baada ya ndege hiyo kuanguka mzee aliye chini alizirai na wenzie walidhani amefariki walimwacha hapohapo.

Mzee aliye anguka katika ndege ya kichawi akingoja kurudishwa nchi jirani ya Msumbiji

Mganga wa Jadi Frolla Ndembo akiwa katika ofisi ya RPC Mkoa wa Ruvuma .Binti Ndembo ambaye amemfadhili mzee aliye anguka na ndege ya kichawi akitokea Maputo Msumbiji akitoa tarifa kwa kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma amsaidie kumrudisha mzee huyo kwao Msumbiji

3 comments:

 1. huyu mama ina maana ananfahamu huyu baba na si wamruhusu usiku uingie aondoke ili nao iwe moja wapo ya resech kujua kweli alikuwana ndege hiyo au uzushi tuuuu.

  ReplyDelete
 2. Huyu Mchawi baada ya kuanguka alipo fika kwa binti ndembo alimtoa uchawi hivyo hawezi kuruka tena ,Pia ndege aliyo kuja nayo ilisha rushwa na wachawi wenzie

  ReplyDelete
 3. Aisee,kweli songea inatisha,juzi juzi tu, tulisikia Mama mmoja kaolewa na mtoto wake wakumzaa,leo mchawi kadondoka,
  Tumwombe Mungu sana atuepushe na haya mambo,

  ReplyDelete