KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, June 9, 2012

WACHAWI WASALIMISHA SILAHA ZAO KWA BINT NDEMBO SONGEA

Katibu wa washirikina kutoka songea Vijijini asema ushirikina hauna maana anaachana na ushirikina ili aungane na serekari kuleta maendeleo amekuwa katika ushirikina kwa zaidi ya miaka 17


Mwenyekiti wawashirikina kutoka wilaya ya songea vijijini anasema ametumia nusu ya umuri wake sasa basi hataki kusikia ushirikina tena


Anasema shabaha ya kuwa mshirikina ili kuwa kujikinga akasutukia anaingia kwenye ushirikina anasema kuanzia sasa hata husika tena na kitu kinacho itwa ushirikina


Najuta kutafuta dawa za kujikinga ndio tatizo la kujiunga na ushirikina ,Ameonya Vijana kuto jiingiza kwa kutafuta kinga ni balaa ukiingia hutoki adhabu ya kuacha ni mbaya zaidi ndiyo mana walio wengi hawaachi ushirikina


Yeye alikuwa mtunza hazina za ushirikina alidanganywa kuwa ni kinga kumbe tayari akawa mtunza nduguri za eneo lao .Jamani na juta kuingizwa mkenge sasa na rudi kwa Mungu aliapa


Mzee huyu ana sema yeye alijiunga na ushirikina kutaka umarufu asichezewe na mtu ,sasa hataki kusikiakuhusu ushirikina


Masikini mzee huyu yeye mara baada ya kujiunga alimjaribu mtoto wake ambaye alimtengua miguu mpaka sasa ni kilema ana sema mshirikina hana hurumaMtunza mizani na nyundo asema nikiwa kijana kuliko wote hapa niliam,bukizwa kwa ukatili halafu nikakabidhiwa zana, Lakini sisi sote kwa pamoja baada ya kufika kwa Binti ndembo Tume apa tuna achana na uchawi Tunaomba Jamii itupokee atuta fanya tena Dhambi.Mungu atusamehe

No comments:

Post a Comment