KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, June 7, 2012

MCHAWI ANGUKA NDEGE ZAKICHAWI AKITOKEA MSUMBIJI

Mchawi aliye anguka na Ndege Zakichawi akitokea Maputo Msumbiji alianguka eneo la Namabengo wilayani Namtumbo akiwa na wenzie 12 walimwacha na kuruka tena wakifikiri amefariki baadaye alizinduka na sasa yuko kwa mganga wa Jadi Binti Frola Ndembo

Umati wawatu wakiwa katika Himaya ya Binti Ndembo wakingoja kupewa Huduma ya Dawa

umati huo wote upo hapo kwa ajili ya kupata tiba mbalimbali lakini changamoto ni sehemu ya kulala watu zaidi ya 700 wapo kambini hapa

Akina mama hawa wanaomba mganga wa jadi apewe ulinzi na serekari kwani mara kwa mara hukabiliana na changamoto ya kutaka kutolewa maisha

No comments:

Post a Comment